Tuesday, September 6, 2011

Taswira mbalimbali za ukarabati wa kivuko cha Kilombero.

Baadhi ya Wakazi wa Mahenge- Wakiruka kutoka kwenye Kivuko cha MV -Kilombero


Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru, akiingia ndani ya Kivuko cha Mv- Kilombero-wakati wa Ziara ya Maboresho



Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru, akitoa maagizo kwa wakuu na Wasimamizi wa Vivuko vya MV-Kilombero.




Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru, akiwa ndani ya Kivuko cha Mv- Kilombero




Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru,(kushoto) Akiangalia Kitu, wakati Kaimu Mwandisi wa Mkoa wa Morogoro

Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru,(kushoto) Akiangalia Mashine ya Kivuko cha MV-Kilombero, wakati wa Ziara ya maboresho ya kivuko hicho.
Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru,(kushoto) Akikagua Engene ya Kivuko cha MV-Kilombero, wakati wa Ziara ya Maboresho.
Dr. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Manguru,mwenye suti, Akiangalia Eneo la chini la Kivuko cha Mv-Kilombero
Kivuko hiki hapa kilikuwa kimesitisha Huduma za usafiri baada ya injini mojawapo kuharibika.Picha kwa hisani ya Mdau wa JIACHIE,Shaban Mpalule.
Imetoka kwa Hisani ya Jiachie Blog

No comments: