
Waziri wa Fedha wa Tanzania Mheshimiwa Mustafa Mkulo(Katikati)akiiwakilisha Tanzania Katika Mkutano wa Bodi ya Magavana wa Afrika Mjini Arusha September 9,2011

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe akiongea na waandishi wa habari September 9-2011 mjini arusha juu ya Hatua mbalimbali zinazotakiwa Kuchukuliwa na ili kuinusuru nchi ya Libya kutoingia katika vita Vya Wenyewe Kwa Wenyewe.
Picha Tiganya Vincet-MAELEZO
Picha Tiganya Vincet-MAELEZO
No comments:
Post a Comment