Tuesday, September 27, 2011

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania Watoa Tamko Juu Ya Chadema

KATIBU wa sekretarieti ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay- Atul Ulamaa) Sheikh Sherally Huseein (kulia)akitoa tamko kwa waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kuhusu wafuasi wa Chama cha CHADEMA kukaidi kuomba radhi kwa umma wa Kiislamu kufuatia tukio la udhalilishaji kwa kumvua Hijjab Mkuu wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Mama Fatma Kimario hapo septemba 15 mwaka huu. Katikati ni Naibu Mwenyekiti wa Umoja huo, Sheikh Abdallah Bawazir na kushoto ni Sheikh Manzi Said Manzi wa taasisi ya Mwinyi Mkuu.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments: