Moto ukiteketeza mabanda ya wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kastam mjini Bagamoyo, moto huo ulianza majira ya saa moja jioni sept 26 chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa na thamani ya mali zilizoungua hazijafahamika.
Picha kwa hisani ya Mdau wa Jiachie Blog,Athuman Shomari
No comments:
Post a Comment