Tuesday, September 13, 2011

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MALOZI WA VATICAN NA VIETNAM LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibusu pete ya Balozi wa Vatican Nchini, Joseph Chennoth kabla ya mazungumzo yao ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. Balozi huyo amemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini na alikweda kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Vatican nchini, Joseph Chennoth ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba leo. Balozi huyo ambaye amemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini alikwenda kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Vietinam Nchini, Nguyen Duy Thein kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: