Wednesday, October 26, 2011

Benki Ya NBC Yamkabidhi Rais Jakaya Kikwete Kadi Mpya ya NBC Debit Master Card




Rais
Jakaya Kikwete akiagana na Mkuu wa Shughuli za Kibenki wa NBC, William
Kallaghe na baadhi ya maofisa wa benki hiyo waliokwenda Ikulu,Dar es
Salaam hivi karibuni ambako walimkabidhi kadi mpya ya NBC Debit Master
Card.Kushoto ni Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti na Meneja wa Tawi
la Corporate, Jacqueline Sindano.





Rais
Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akijaza fomu ili kupata kadi mpya ya
Debit Master Card ya Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni.
Kadi ya NBC Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka
huu. Wanaomsaidia Rais kutoka kushoto ni, Meneja Tawi la Corporate Bi.
Jacqueline Sindano, Mkuu wa Shughuli za Kibenki, William Kallaghe na
Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti.




Rais
Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akionyesha kadi yake mpya ya NBC Debit
Master Card mara baada ya kukabidhiwa na maofisa wa Benki ya NBC Ikulu,
Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya NBC Debit Master Card ilizinduliwa
na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Kutoka kushoto ni, Meneja wa Tawi la
Corporate Bi. Jacqueline Sindano Mkuu wa Shughuli za Kibenki wa
NBC,William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti.






No comments: