Sunday, October 2, 2011

BREAKING NEWSZzzzzzzzzzzzz MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO IRINGA CHADEMA HOI JESCA MSAMBATAVANGU AIPIGA MWELEKA CHADEMA KITANZINI


Na Francis Godwin
Matokeo ya uchaguzi mdogo kata ya Kitanzini Miyomboni katika jimbo la Iringa mjini yametangazwa huku kada wa CCM Jesca Msambatavangu akiacha simanzi kwa Chadema baada ya kuibuka kidedea katika matokeo ya jumla na kutangazwa rasmi kuwa diwani wa CCM wa kata hiyo ya Kitanzini Mkiyomboni

Katika matokeo hayo kwa upande wa kituo cha Stendi 'A' huku Chadema kupitia mgombea wake Gervas kalolo imepata kura ( 43 ) kituo cha stendi B' CCM (18 ),Chadema 36 wakati kituo cha Zimamoto CCM (32) Chadema (41) wakati soko kuu CCM (51) Chadema ( 84) Sokoni Kitanzini 1 Chadema ( 35) CCM (58 ) Sokoni Kitanzini 2 Chadema (33) CCM (56) na Kitanzini CCM (75) Chadema (37)

No comments: