Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wadau mbali mbali katika mkutano wa siku mbili wa Baraza la Biashara (ZBC),katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel,(kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko,Mhe,Nassor Ahmed Mazrui.
Baadhi ya waalikwa katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,(ZBC) chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakimsikiliza Rais alipokuwa akifungua mkutano huo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.

Baadhi ya wajumbe katika mkutano wa siku mbili wa Baraza la Biashara wakimsikiliza mwenyekiti wa mkutano huo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akiufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya wafanya Biashara na wenye viwanda na wakulima,(Chamber) Mbarouk Omar,alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa saalama Bwawani Hotel jana kuufungua mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,(ZBC).
Picha na Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar
No comments:
Post a Comment