Sunday, October 16, 2011

NGUMI KULINDIMA UKUMBI WA PANANDIPANANDI, ILALA, JUMAPILI HII,

Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano utakaofanyika jumapili hii.
Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klab mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni michuano ya mchezo wa ngumi inatarajiwa kulindima kesho jumapili katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.
(Picha na Super D Coach)

No comments: