Friday, October 28, 2011

Malkia Elizabeth Afungua Mkutano Wa CHOGM 2011 Perth Australia Leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akimsikiliza Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza, wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuia ya madola leo mjini Perth nchini Australia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya madola wakimsikiliza mtu mwenye asili ya watu wa Australia ( anaeonekana kwenye kingamuzi) akielezea asili ya nchi hiyo leo mjini Perth nchini Australia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola. -28 oktober 2011.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa - Maelezo

No comments: