Friday, October 28, 2011

WAZIRI MKUU PINDA AMJULIA HALI ZITTO KABWE.




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa Matibabu, Oktoba 28,2011.


(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: