Monday, October 3, 2011

Mambo yalivyokuwa Igunga Leo

fomu ya washindi
Hali ya upigaji kura
Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama akimshika Dk. Dalaly Kafumu wakati matokeo takitangazwa.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga,Protace Magayane akitangaza matokeo
Dk. kafumu akipongezwa na mke wake, Maria Magdalena Kafumu. Huku shangwe na Nderemo zikitawala toka kwa wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi.
Dk. Kafumu akibebwa baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Ubunge jimbo la Igunga
Msimamizi wa uchaguzi Protace Magayane akimpongeza Dk. Dalaly Kafumu baada ya kumtangaza na kumkabidhi cheti cha ushindi wa ubunge wa Jimbo hilo.
Dk Kafumu akionyesha cheti chake cha ushindi
Baadhi ya viongozi wa CCM wakishangilia baada ya Dk. Kafumu kutangazwa mshindi. Watatu ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma
Dk. Dalaly akisaini matokeo.Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Igunga,Protace Magayane.

No comments: