Saturday, October 1, 2011

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AFUNGA KAMPENI IGUNGA


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwaongoza wakazi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake kuonyesha ishara ya kukikataa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakati wa mkutano wa kufunga kampeni, kwenye Uwanja wa Barafu jana. (Picha na Joseph Senga)
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ismail Jussa na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakijaribu kumdhibiti mgombea wa ubunge jimbo la Igunga wa chama hicho, Leopard Mahona, ambaye alitaka kupigana na wafuasi wa Chadema, kutokana na kuingilia kwa mkutano wa Chadema katika kijiji cha Nyandekwa jana.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakijaribu kumdhibiti mgombea wa ubunge wa jimbo la Igunga kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Leopard Mahona, ambaye alitaka kupigana wa wafuasi na viongozi wa Chadema kutokana na CUF kuingilia mkutano katika kijiji cha Nyandekwa jana. (Picha na Joseph Senga)


No comments: