Saturday, October 1, 2011

mzee benjmin william mkapa afunga kazi igunga leo

Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Mzee Benjamin William Mkapa akituhubia maelfu ya watu katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, jana katika Uwanja wa Sokoni, Nkinga mkoani Tabora.
Nyomi ikimsikiliza Mzee Mkapa leo
Mkapa akimnadi mgombea wa CCM Dk Dalaly Kafumu katika mkutano huo
Nani kasema kuna uhasama wa kiitikadi Tanzania? Hapa kijana wa CHADEMA akimsaidia Kijana wa CCM kufunga bendera kwenye kijiti mjini Igunga kudhihirisha kwamba wote ni wamoja kitaifa japo kivyama ni tofauti

No comments: