Monday, October 24, 2011

Sam TIMBE ATIMULIWA yanga,PAPIC AANZA RASMI KUINOA YANGA









HOMA
ya pambano la watani wa jadi nchini Simba na Yanga imeanza kupanda
taratibu ambapo Yanga imemtiamua kocha wake Sam Timbe na kumrejesha
Kostadin Papic ambaye ameanza rasmi kuinoa timu hiyo jioni ya leo
katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Kaunda.

No comments: