Monday, October 24, 2011

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkewe Regina Lowassa Watoa Mil 10 na Kuchangisha MIL 126.9 za Ujenzi Wa Mabweni Ya Shule Ya Sekondari YA Anglikana

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikani Tanzania, Costantino Mokiwa (kushoto), akimshukuru Mbunge wa Jimbo la Segerea, Dk. Makongoro Mahanga ambaye alichangia sh. mil. 3,katika harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa mabweni ya Shule ya Sekondari ya Askofu John Sepeku iliyopo Buza Mtoni, Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikani Tanzania, Costantino Mokiwa (kushoto) akipokea mchango wa sh. mil 10 kutoka kwa mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), Regina Lowassa, zilizotolewa na familia ya Lowassa katika harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa mabweni ya Shule ya Sekondari ya Askofu John Sepeku iliyopo Buza Mtoni, Dar es Salaam. Lowassa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisa la Aglikani Segerea, Dar es Salaam jana,ambapo zaidi ya sh. mil. 126.9 zilichangangwa. Waziri Mkuu mstaafu aliahidi kutoa tena sh. milioni 10.Picha na Mpiga Picha Wetu






No comments: