Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto zoezi la jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani Oktoka 15,2011 katika viwanja vya Karimjee
Sehemu ya tukio lilifanyika sherehe ya maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani okt.15.2011 jijini Dra es Salaam.
Wasanii wa Kikundi cha Orijino Comedy kikionyesha zoezi la kunawa mikono wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani lililofanyika okotoba 15,2011 jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete hayupo pichani.
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
No comments:
Post a Comment