Tuesday, October 18, 2011

Je TANESCO wanakusanya Malipo ya Umeme na Hapa?

Nyumba hii ipo mjini Morogoro inatazamana kabisa na Bar maarufu ya Top Life, unaweza stuka na kustaajabika kuona imeungwanishwa na umeme washirika letu maarufu la Ugavi wanishati hiyo. Uchakavu wa nyumba hii unatia shaka iwapo Tanesco wanakusanya bili zao hapa na kama imekatiwa umeme sijui utakuwaumekatwa kwa njia gani kwani nyaya zipo toka katika nguzo bila kutenganishwa.
Picha Na Habari Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blogu

No comments: