Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu,Mizengo Pinda.
Rais Kikwete akiwaaga wananchi muda mfupi kabla ya kupanda ndege na kuondokaRais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia), wakiangalia ngoma ya asili wakati wa hafla ya kumuaga leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa MpandaRais Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Injinia Manyanya (kushoto) pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Kigoma, Issa MachibyaRais Kikwete akiagana na baadhi ya maofisa wa Serikali
JK akiwapungia mkono kuwaaga wananchi alipokuwa akipanda ndege tayari kurudi Dar es Salaam leo asubuhi.
PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment