Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Rebecca Kadaga (kushoto) akimpongeza Spika wa Morocco Bwa. Radi A. kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa IPU.
Mhe. David Kafulila akitimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura ya kumchagua Rais wa IPU.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa 125 wa IPU chini ya uongozi wa Spika Makinda (katikati) ukijadili jambo mara kabla ya uchaguzi mkuu wa Rais wa IPU. Kulia kwake ni Mhe. Angela Kairuki na Kushoto ni Mhe Suzan Lyimo. Mhe. Kairuki amechaguliwa kuziwakilisha nchi za Afrika katika Kamati ya Bunge la Dunia inayoshughulikia Haki za Binadamu na Wabunge. Mhe. Hamadi Rashid ni Makamu wa Rais wa Kamati ya Bunge la Dunia inayoshughulikia Maendeleo endelevu, Fedha na Biashara.(Picha na Prosper Minja).
No comments:
Post a Comment