Wakazi wa Misugusugu Kibaha mkoani Pwani katika Barabara ya Morogoro Wakikata Chuma Chakavu Katika Mabaki ya Basi
Wakazi wa Misugusugu Kibaha mkoani Pwani katika Barabara ya Morogoro wakikata chuma chakavu katika mabaki ya basi la Deluxe ambalo lilipinduka na kuwaka moto na kupoteza maisha ya watu 12.Picha na Yusuf Badi
No comments:
Post a Comment