Monday, October 31, 2011

VIONGOZI WA TAMCO WAKABIDHI FEDHA ZA MAAFA KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na Seif Mohamed muweka hazina wa TAMCO chama cha Jumuiya ya Waumini wa dini ya Kiisilamu waishio Washington,DC Nchini Marekani.

Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na Idd Sanndali,Rais wa TAMCO chama cha Jumuiya ya Waumini wa dini ya Kiislam waishio Washington,DC Nchini Marekani.
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na Kinyemi wa TAMCO chama cha Jumuiya ya Waumini wa dini ya Kiislam waishio Washington,DC Nchini Marekani.

Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na Yusuf wa TAMCO chama cha Jumuiya ya Waumini wa dini ya Kiislam waishio Washington,DC Nchini Marekani.
Viongozi wa TAMCO wakipata utamburisho rasmi kwa makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar.
Rais wa TAMCO Idd Sandali akizungumuza machache kwa niaba ya wanajumuiya wote Metro Politan kabla ya kukabidhi fedha za waliopata na ajali ya MV SPICE kwa makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa TAMCO na ujumbe wake ukikabidhi barua kwa makamu wa pili wa rais Mh.Balozi Seif Ali Idd.
Rais wa TAMCO na Ujumbe wake akikabidhi fedha tasilimu $4,000 kwa Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd kwa ajili ya Wahanga wa meli ya MV SPICE
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh.Balozi Seif Ali Idd akihakiki fedha zilizotolewa na viongozi wa TAMCO kwa ajili ya Wahanga wa meli ya MV SPICE.
Mh.Balozi Seif Ali Idd,Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar akishikana mkono na Mtunza hazina wa TAMCO Seif Mohamed kama ishara ya kutoa shukrani kwa niaba ya Wahanga wa ajali ya meli ya MV SPICE.
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pianzibar akipata picha ya pamoja na Uongozi wa TAMCO

No comments: