Friday, November 11, 2011

Breaking Nuuz Liveee!! Kutoka Mbeya muda huu : Bara bara za Mbeya zafungwa hakuna pa kupita Jeshi laingilia kati lamwaga wanajeshi Risasi zalindima sasa

 Picha hazipo Clear sana kutokana na Mabomu kuwa Mengi wananchi wanaziba barabara kuzuia Magari yasipite 
 Maeneo ya Ilomba wananchi Bado wanafunga Barabara 
 Wananchi wamechoma matairi kuzuia usafiri wa aina yoyote usiwepo
Hapa ni Mamajoni ambapo Bara bara zimefungwa 

1 comment:

daudi said...

Hii serikali yetu hii ndo ya kulaumiwa. iweje watu wanaghasiwa ghasiwa ndani ya nchi yao wenyewe. watu wanajitafutia kipato chao KWA NJIA HALALI KABISA lakini bado wanazongwa zongwa. serikali isome alama za nyakati sasa. ijue wazi watu wamechoka sana.