Wednesday, November 23, 2011

Imetokea si Muda:Ajali Mbaya Yatokea Eneo la Ubungo River Side Jijini Dar es Salaam Mchana Huu

katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana
Baadhi ya watu katika eneo la ajali Mchana Huu eneo la river Side Ubungo Jijini Dar es Salaam


No comments: