Wednesday, November 23, 2011

Picha Mbalimbali Kutoka Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma Leo

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM leo Novemba 23, 2011 katika ukumbi wa 'White House' katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo,Kushoto ni Rais Mstaafuu Benjamin Mkapa,Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein,Rais Mstaafu wa Zanzibar Abeid Kafume.Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Pius Msekwa
Wajumbe wa CCM Wakiiimba muda mfupi kabla ya Kuanza Kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma Leo
Wajumbe wa CCM Wakiwa Wamesimama Kuwakumbuka Wajumbe Mbalimbali Waliotangulia Mbele ya Haki
Waziri Mkuu Mstaafuu Fredrick Sumaye akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa Ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma Leo
Wajumbe Mbalimbali Wakiwa ndani ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Kificho(Kulia)akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Anne Makinda(kushoto)
Wajumbe Mbalimbali
Waziri wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo Samweli Sitta(Kulia)akisalimiana na Mmoja wa Wajumbe Kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma Leo hii.Picha na IKULU


No comments: