Saturday, November 12, 2011

Kutoka Tabora Jioni ya leo: Wanajeshi wa JKT wafanya fujo baada ya kukataliwa kupunguziwa bidhaa dukani na kusababisha madhara

Habari ambazo bado zinaendelea kufuatiliwa zunasema  kuwa tabora kumetokea fujo ni kwamba wanajeshi wa jkt wamefanya fujo baada ya kutaka kupunguziwa bidhaa walipofika katika duka moja mitaa ya sokoni na muuza duka kukataa ndipo walipoanza fujo na kurusha risasi na taarifa zinasema mtu mmoja amekufa kutokana na majeruhi ya risasi! Hata hivyo hakuna uthibitisho kutoka kwa polisi.

Endelea kufuatilia.

1 comment:

Akwino Msombe said...

Hivi hizi vurugu zitakwishaje hapa Tanzania? Tunasifika kuwa ni watu wa amani lakini amani tunaichezea