
RPC Liberatus Barlow, anasema hayuko tayari kuvumilia uvunjifu wowote wa amani jijini humo kwa kisingizio chochote kile

Pichani Juu askari poolisi akilinda Doria Jijini Mwanza Leo

Wadau mbalimbali wakishangaa jinsi mambo yalivyokua yakiendelea jijini Mwanza leo
--
Hali ilikuwa tete jijini Mwanza leo hii baada ya kundi kubwa la Waislam kujazana mahakamani na kufanya fujo wakati kesi ya kuchoma Koran ilipokuwa ikisikilizwa.Ililazimika jeshi la Polisi kuingilia kati na kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi , mji mzima ilikuwa ni patashika nguo kuchanika.Picha na Habari na Mdau Bernard Rwebangira-Mwanza
No comments:
Post a Comment