Tuesday, November 1, 2011

Taswira Za Sherehe Ya Kutimiza Mwaka Mmoja Wa Ushindi Wa CCM Katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa Wilaya Mjini Burhani Sadaat akihutubia katika mkutano wa sherehe za kutimia Mwaka mmoja wa Ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Silima Borafia akiwahutubia Wanachama wa CCM wa Wilaya ya Mjini katika sherehe za kutimia mwaka mmoja wa Ushinmdi wa CCM, katika viwanja vya Komba Wapya Rahaleo.
VIONGOZI wa CCM na Wawakilishi na Wabunge wakimsikiliza Mgeni rasmin akiwahutubia katika viwanja vya Komba Wapya Rahaleo.


No comments: