Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Barani Afrika, Diana Layfield na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo nchini Jeremy Awori kabla ya mazungungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo nchini Jeremy Awori Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment