Tuesday, December 6, 2011

AJALI MBAYA IRINGA DEREVA WA BAJAJ AJIINGIZA NYUMA YA TAXI AFA


Damu nyingi ikiwa imemwagika ndani ya Bajaj hiyo baada ya kupata ajali eneo la Kihesa mjini Iringa usiku huu



Baba wa marehemu Jose Kasililika ,mzee Richard Kasililika akitoka mochwari ya Hopspital ya mkoa wa Iringa huku akiwa ameshika viatu vya marehemu baada ya kuhifadhi mwili wake



Eneo la ajali lilivyotapakaa damu



Gali ambalo limegongwa na Bajaj hiyo kwa nyuma na kusababisha kifo cha dereva wa bajaj hiyo


No comments: