Thursday, December 22, 2011

HALI YA MVUA ILIVYOKUWA JIJINI DAR ES SALAAM









Gari mali ya serikali likiwa limetumbukia mara baada ya daraja kukatika maeneo ya makondeni mbezi hapo jana.Hakuna arijeruhiwa wala kupoteza maisha






Sehemu ya Daraja la salender likiwa limetoboka kutokana na Mafuriko yalilolikumba Jiji la Dar Es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar Es Salaam






Askari Wa Kutuliza Ghasia Wakiwa katika eneo la Jangwani ambapo walikua kwaajili ya kulinda watu na mali zao wakati wa mafuriko huko jangwani leo.






Mbunge Wa Mafia Mkoani Pwani, Abdulkarim Shah akiwa kwenye boti aliyoikodi kwaajili ya kuokoa wananchi wa jangwani na mali zao leo jijini Dar Es Salaam.Picha Na Michuzi Blogu

No comments: