Wednesday, December 7, 2011

Jaji Warioba Atembelea Banda La Wizara Ya Fedha

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu(NBAA) juu ya mafunzo mbalimbali yanayotolewa na Bodi katika kuimarisha taaluma ya ugavi na uhasibu nchini. Waziri Mkuu huyo alipata maelezo hayo jana jijini Dar es salaam alipotembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maonyesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) akiangalia machapisho mbalimbali ya Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB) yanayoonyesha fursa mbalimbali ambazo mwananchi anaweza kuzipata kupitia Benki hiyo katika kujikomboa kiuchumi. Waziri Mkuu huyo alipata maelezo hayo jana jijini Dar es salaam alipotembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maonyesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) akijadiliana jambo na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu ya Tanzania (TIA) jana jijini Dar es salaam alipotembelea banda la Wizara ya Fedha wakati wa maonyesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO--Dar es salaam

No comments: