Spika wa baraza la wawakilishi akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu yaliofanyika huko Mahonda mkoa wa kaskazini Unguja.
-Baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya watu wenye ulemavu Duniani huko mahonda wilaya yakaskazini B Unguja.
Wanafunzi wasioona kutoka skuli ya Kisiwandui Jamila Borafya kulia na Awena Hassan wakisoma utenzi katika siku ya maadhimisho ya watu wenye Ulemavu huko mahonda mkoa wa kaskazini A Unguja.
-Mwalimu wa ishara wa watu wenye ulemavu wa usikivu akiwaonyesha walemavu hao ishara ya mazungumzo yanayotolewa hapo katika maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu yaliofanyika katika mkoa wa kaskazini A Unguja.
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar akipokea maandamano ya kuadhimisha sikuya watu wenye ulemavu Duniani huko mahonda mkoa wa kaskazi A Unguja.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji akicheza ngoma pamoja na watoto wasiosikia katika maadhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu huko Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Wananchi mbalimbali wakishereheka pamoja na wachezaji wenye matatizo ya kusikia katika kucheza ngoma ya kyaso katika maadhimisho ya watu wenye ulemavu.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment