Tuesday, December 6, 2011

Mafuriko yawatesa wakazi wa Kiseke, ilemela Mwanza

 Mama akitafuta Njia ya kupita baada ya Mafuriko hayo Kuharibu kila kitu katika eneo hilo la la Kiseke Mwanza 

 Hivi ndivyo mafuriko yalivyo fanya zoa zoa na kuharibu miundo mbinu kabisa katika eneo la Kiseke Mwanza
 Huu sio Mto bali ni Bara bara ambayo huyu mama alikuwa akijaribu kupita kufika anapo elekea 

 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wanahaha hapa na pale kutafuta kujikimu wakati wa mafuriko hayo
 Mazao yakiwa yamesombwa sombwa na mafuriko ambayo yalisababishwa na mvua kubwa iliyo nyesha hivi karibuni eneo la Kiseke Mwanza 
 Watu wakiwa wanashangaa jinsi maji yanavyo chanja njia wakati wa mafuriko hayo


Baadhi ya Nyumba zikiwa zimevunjika baada ya kutokea kwa mvua kubwa eneo la Kiseke Mwanza 

Hii ni Video fupi ambayo inaonesha Tukio zima la Mafuriko katika Eneo la Kiseke, Ilemela Jijini Mwanza
Na Ripota wetu Dorothy Kutoka Mwanza

No comments: