Tuesday, December 6, 2011

Jukwaa La Mgeni Rasmi Laanguka wakati wa Sherehe za Kuazimisha Miaka 50 ya Uhuru Chunya

 Hapa ni Baada Ya Jukwaa la Mgeni Rasmi kuanguka na Kuvuruga Mambo ya Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru Huko Chunya 
Pembeni ni Gari la Mkuu wa wilaya Huku Jukwaa likiwa limeporomoka na kuharibu kila kitu kutokana na Mvua kubwa kunyesha
Picha na ripota Wetu Beatrice wa Chunya

No comments: