Monday, December 12, 2011

Rais Jakaya Kikwete atembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru viwanja vya maonesho ya Sabasaba vya Mwalimu Nyerere


Rais Jakaya Kikwete katika banda la TRA
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni banda la Benki Kuu
Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya ya Moshi
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya solar toka kwa Bi Jaina Msuya wa banda la mradi wa Umeme vijijini
Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Versity Secondary School juu ya maabada ya sayansi
Rais Kikwete akipata maelezo juu ya mashine ya kuatamia kuku katika banda la Kilimo na ufugaji
Rais kikwete akitembelea bustani ya wanyama pori katika banda la Wizara ya Maliasili na utalii
Rais Kikwete akipata maelezo ya mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali kwenye banda la JWTZ
wapiga picha wakiwa kazini wakati wa ziara hiyo. Juu ni Robert Okanda wa Daily News na chini ni Richard Mwaikkenda wa Jambo Leo
Rais Kikwete akiangalia bonge la boga
Juu na chini ni Rais Jakaya Kikwete katika banda la Ofisi ya Rais
Picha na Ikulu

No comments: