Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akipata maelezo kutoka kwa maofisa sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakati alipotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria katika maaadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru wa tanzania bara katika viwanja vya JK Nyerere.
Naibu Mawanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akipata maelezo kutoka kwa maofisa Sheria wa Tume
No comments:
Post a Comment