Friday, December 30, 2011

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MTANGAZAJI WA TBC TAIFA HALIMA MAREHEMU MCHUKA MUHIMBILI LEO

Rais Jakaya Kikwete , akijumuika na baadhi ya waombolezaji kuuombea mwili wa marehemu Halima Mchuka leo katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji huyo, kabla ya kwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa.
Rais Jakaya kikwete akiwapa pole wafiwa, ndugu na jamaa waliohudhuria dua iliyofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.
Picha ya marehemu Halima Mchuka enzi za uhai wake ikiwa juu ya Jeneza wakati wa dua.

No comments: