Wednesday, December 7, 2011

S.A.A washerehekea miaka 50 ya uhuru na wanandoa wakongwe!



..SAA iko juu!!

...baadhi ya Ma MC wakifurahia muziki ulioimbwa na Makasy maalum kukipongeza chama cha Ma MC
...wakisakata rhumba mpaka chini
Mama Henjewele akimtunza Makasy wakati akitoa burudani
Mzee Makasy akisalimiana na Mlezi wa SAA, Mzee Mdachi (kulia)
Makassy Jr na mkewe wakisakata Rhumba
Mzee Makassy na mwanae Makasy Jr wakiburudisha wagani waalikwa
Kutoka kushoto: Mzee Isaya na mkewe Mariyon, mzee Laurian na Mkewe Angelina wakikata keki kwa pamoja kama ishara ya upendo
Mzee
Isaya Nzibukila akilisha keki mkewe Bi. Mariyon katika sherehe hiyo.
Wazee hawa wako kwenye ndoa kwa muda wa miaka 53 sasa!
Bi.
Angelina Itumbaki akimlisha keki mumewe Laurian Itumbaki katika sherehe
hiyo. Wazee hawa wako kwenye ndoa kwa muda wa miaka 52 sasa!
Baadhi ya viongozi wa Ma MC, wakiwa katika picha ya pamoja na wanandoa wazee.

Chama
cha Washereheshaji wa sherehe mbalimbali nchini, Sherehe Arts
Association (SAA) mwishoni mwa wiki iliyopita kilisherehekea sherehe za
miaka 50 ya Uhuru kwa kuandaa hafla pamoja na wazee walioko kwenye ndoa
kwa muda wa miaka 50 sasa.


Sherehe
hiyo, ambayo iliongozwa na MC mkongwe na Mlezi wa chama hicho, Mzee
Mdachi, ilifanyika kwenye ukumbi wa Lamada Hotel iliyopo ILALA jijini
Dar es salaam.Kwa Hisani Ya GPL

No comments: