Wednesday, December 7, 2011

MAADHIMISHO YA SIKU YA MLIPA KODI YAFANA JIJINI MBEYA

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia baadhi ya wafanyabiashara na watumishi mbali mbali waliyohudhuria siku ya maadhimisho ya mlipakodi yaliyofanyika katika viwanja vya soko kuu mwanjelwa
Kaimu meneja wa TRA mkoa wa mbeya bwana Mukama akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya
Mwenyekiti wa wafanya biashara mkoa wa mbeya Mzava akisoma risala ya wafanyabiashara wa mkoa wa mbeya
Baadhi ya wafanyabiashara na watumishi wa TRA wakimsikiliza mkuu wa mkoa mbeya
Wafanyabiashara ndogondogo wakimsililiza mkuu wa mkoa mbeya

No comments: