Magari yakiwa yanatembea bila mpangilio
Hapa akiwa tayari amesahau wajibu wake na kuongoza watu badala ya magari
hili ndilo pozi la kuombea namba ya simu
Hapa jamaa alikuwa anatazama kama kuna usalama ili aweze kuchukua namba ya simu
Baaada ya kuona anaweza kuchukua namba za simu alijiweka sawa sawa
Baada ya Hapo alichukua namba ya simu
***********************
Katika hali isiyo ya kawaida mwana usalama huyu wa barabarani ambae namba zake za kazi hazikufahamika mapema maeneo ya Mwenge, alionekana akiwa anaongoza magari bara barani na ghafla kuacha kazi hiyo na kuelekea kumuona mwanamke ambae nia na malengo ilikuwa ni tofauti na kazi yake.
Mwandishi wetu maalum alie kuwa katika eneo hilo alifuatilia tukio kwa ukaribu na alifanikiwa kusikia mambo baadhi waliyo kuwa wakiyaongea ikiwa ni pamoja na Askari huyo kuomba namba ya simu na kuomba wakutane baada ya kazi.
SWALI LINAKUJA JE HII NDIO KAZI ALIYO TUMWA KUFANYA NA BOSI WAKE?
No comments:
Post a Comment