Wednesday, December 7, 2011

Siku Ya Mlipa Kodi Singida

Mkuu wa mkoa Singida Dk.Parseko Kone Akizungumza na wafanyabiashara katika jukwaa la Mabula,la kanisa Katoliki mjini Singida, ambao walifanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato na kuzawadiwa cheti maalumu na TRA.
Mwenyekiti SINGPRESS akipokea cheti
Chama Cha Waandishi wa habari mkoa wa Singida(SINGPRESS), nacho kilizawadiwa cheti baada ya kushika nafasi ya pili, nyuma ya ofisi ya mkuu wa mkoa, kwa UHAMASISHAJI wa ukusanyaji mapato na kazi zingine za TRA. Nafasi ya tatu ilinyakuliwa na Faisal Cable network.
Wadau walioshiriki katika hafla hiyo.
Ofisi za TRA Singida
Na Elisante John - Singida

No comments: