Saturday, December 24, 2011

Taswira Mbalimbali Za Waathirika Wa Mafuriko Jijini Dar es Salaam

Mama Hamadi ambaye ni mmoja wa waathirika akielezea Jinsi alivyopata athari katika mafuriko eneo la Jangwani.
Mzee aliyeathirika kwa mafuriko akipita kwenye tundu la ukuta akiwa na ndoo yenye nguo kwenda kuanika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mchikichini ambapo imewekwa kambi ya waathirika.
Waathirika wakiwa wamebeba moja ya tendegu la kitanda lililookolewa.Picha na Mdau Richard Mwaikenda


No comments: