Saturday, December 24, 2011

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dk.Emmanuel Nchimbi Afunga Mafunzo Maalum Yaliyoandaliwa na Mkoa wa Pwani Kwa Lengo La Kuwaondoa Vijana Katika mMaeneo Yanayowadhalilisha na Kuwajengea Uwezo wa Kujitegemea

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na vijana 400 wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Korogwe(hawapo pichani)wakati akifunga mafunzo maalum yaliyoandaliwa na mkoa wa Pwani kwa lengo la kuwaondoa vijana katika maeneo yanayowadhalilisha na kuwajengea uwezo wa kujitegemea.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Mantumu Mahiza.
Vijana 400 kutoka mkoa wa Pwani na Wilaya ya Korogwe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo wakati akifunga mafunzo maalum yaliyoandaliwa na mkoa wa Pwani kwa lengo la kuwaondoa vijana katika maeneo yanayowadhalilisha na kuwajengea uwezo wa kujitegemea na kuwa na maisha bora.Picha na Lydia Churi -Maelezo

No comments: