Friday, January 13, 2012

AIRTEL MWANZA WAKABIDHI MSAADA WA BAISKELI WILAYANI MISUNGWI JANA



Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia ambaye ni Mbunge wa Misungwi Mh.Charles kitwanga nae akitoa shukurani

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila
"Kwa
niaba ya watu wangu wa Misungwi - Tunawashukuru sana Airtel tukiwasihi
ushirikiano usiishie hapa, uendelee kwani bado kuna mahitaji mengi na
makampuni mengine yaige mfano huu"
Mkuu
wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila (C) akimkabidhi baiskeli
Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Kijima, Dr. Marwa Mwita huku
akishuhudiwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Taknolojia,
Mbunge wa wilaya ya Misungwi Mh. Charles Kitwanga almaarufu 'Mawe
Matatu'.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila akimkabidhi baiskeli Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Igongwa.
Mkuu
wa Wilaya ya Misungwi Bi. Mariam Lugaila (C) akimkabidhi baiskeli
Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Mwagiligi kilichopo wilayani humo huku
akishuhudiwa na Meneja Biashara wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Airtel bw.
Ally Maswanya (R).
Msaada huu wa Baiskeli utawasaidia waganga wakuu wa vituo vya tiba wa vijiji 10 kukabiliana na tatizo la usafiri.

No comments: