Friday, January 13, 2012

LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MWANA BLOGGER MWENZETU AHMAD ISSA MICHUZI A.K.A MZEE WA JIACHIE BLOG

TIMU NZIMA YA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO PIA NI WAMILIKI WA MTANDAO HUU WA LATEST NEWS TZ WANAYO FURAHA KUMPONGEZA MWANA BLOGGER MKONGWE NA WAMUDA MREFU AHMAD ISSA MICHUZI KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA SIKU YA LEO. TUNAKUTAKIA MAISHA MEMA NA MAREFU ZAIDI. PIA TUKUTAKIE UFANISI ZAIDI WA KAZI KILA LAHERI.
KUMTEMBELEA BOFYA HAPA CHINI

No comments: