Monday, January 23, 2012

Airtel yawaburudiaha wanafunzi wa shule ya sekendari ya Lyceum katika onyesho la 5select

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum,Duah Ramadhani akionyesha kipaji chake cha kuimba wakati wa onyesho maalumu la 5selekt lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel na kufanyika shuleni hapo na kuudhuriwa na walimu na wanafunzi.
Mwanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum,Neema akionyesha kipaji chake cha kuimba wakati wa onyesho maalumu la 5selekt lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel na kufanyika shuleni hapo na kuudhuriwa na walimu na wanafunzi.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum wakionyesha umahiri wao katika kucheza musiki wa kwaito wakati wa waonyesho maalumu la 5selekt lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel na kufanyika shuleni hapo na kuudhuriwa na walimu na wanafunzi.

No comments: