Monday, January 23, 2012

VODACOM YATOA SEMINA KWA CHAMA CHA TAASISI YA KIFEDHA NCHINI(TAMFI)KUHUSIANA NA HUDUMA YA M-PESA.


Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla(kulia)akisikiliza swali kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Association of Microfinance Association(TAMFI) Joel Mwakitalu wakati wa semina mahususi kwa ajili ya Chama cha Taasisi za kifedha kuweza kunufaika na huduma ya m-pesa,semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam.


Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla(kushoto)akimsisitiza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya kifedha ya PTF Mary Likwelile,wakati wa semina ya chama cha Taasisi za kifedha (TAMFI)iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya kunufaika na huduma ya m-pesa,semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam.


Washiriki wa semina ya Taasisi za kifedha(TAMFI)wakimsikiliza Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla wakati wa semina hiyo mahususi kwa ajili ya taasisi hizo kunufaika na huduma ya Vodacom m-pesa,iliyofanyika jijini Dar es Salaam.


Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya washiriki wa semina ya Taasisi za kifedha nchini(TAMFI)wakifatilia mada iliyokuwa inatolewa na Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla(hayupo pichani)iliyohusu huduma ya Vodacom m-pesa, Semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania jijini Dar e s Salaam.



Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla na Meneja wa Vodacom m-pesa Magesa Wandwi wakisikiliza swali kutoka kwa mratibu wa Taasisi za kifedha wa Mkoa wa Arusha Hamisi Shelukamba wakati wa semina ya Taasisi za kifedha (TAMFI)iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya kunufaika na huduma ya m-pesa,semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam

No comments: