Tuesday, January 17, 2012

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Kaimu Mwakilishi wa Benki Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi wasaini mkataba wa kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kusaini makubaliano ya msaada wa kusaidia sekta ya kilimo na Kaimu Mwakilishi wa Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon mara baada ya kusaini makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB).
Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es salaam.

No comments: