Wednesday, January 18, 2012

Picha Za Misa Ya Mazishi Ya Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Marehemu Regia Mtema Ifakara Morogoro Leo

Ambulance iliyobeba mwili wa marehemu Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema ikiwasili Ifakara Usiku wa Kuamkia leo
Misa Maalum ya mazishi ya Kumwombea Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema ikiendelea Ifakara Morogoro Leo mchana Muda mfupi kabla ya Mazishi
Naibu Spika Job Ngugai(Kushoto)na Mwenyekiti wa CHADEMA,Kiongozi wa Kambi ya Upinzania na Mbunge wa Hai Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Kabwe wakifwatilia kwa Makini Misaa Maalum ya Mazishi ya Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema Ifakara Leo Hii


Sehemu ya Umati Mkubwa wa Waombolezaji wakifwatilia kwa Ukarabu Misa Maalum Ya Mazishi Ya Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum Chadema Marehemu Regia Mtema Ifakara Morogoro Leo.Picha Zote na Mdau Ally UlangaNo comments: